Recent News and Updates

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow ambao pia ni waalimu wa Lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Moscow ( Moscow State University) na Chuo Kikuu cha Mahusiano ya Kimataifa( Moscow… Read More

SERIKALI YA RUSSIA KUONGEZA FURSA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI RAIA WA TANZANIA

Balozi wa Russia nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetsyan, amekutana kwa mazungumzo na Mhe. Fredrick I Kibuta, Balozi wa Tanzania nchini Russia. Mazumgumzo hayo yamefanyika leo tarehe 12 Aprili 2022 katika ofisi za Ubalozi wa… Read More

MAHUSIANO KATI YA TANZANIA NA SHIRIKISHO LA URUSI KUIMARIKA KUPITIA SEKTA YA UTALII

Tanzania inatarajiwa kupokea watalii wengi zaidi siku za hivi karibuni kutoka nchini Russia. Tathmini hii imetokana  na mazungumzo yaliyofanyika mnamo tarehe 31 Machi 2022 kati ya Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta na ugeni… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Russia

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Russia