TANZANIA OPENED ITS BORDERS

STANDARD OPERATING PROCEDURES (SOPS) FOR THE ARRIVING VISITORS INCLUDING TOURISTS

1. Tourists will be checked their temperature at the Point of Entry (PoE) before they are allowed to enter the country and other tourist destinations in the country. 2. Tourists should adhere to COVID-19 preventive…

Read More

UBALOZI KWA KUSHIRIKIANA NA QATAR AIRWAYS WAFANYA SEMINA YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Ubalozi kwa kushirikiana na Kampuni ya ndege ya Qatar ulifanya Semina ya Utalii  wa Tanzania tarehe 13 Novemba 2019 katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi. Kampuni ya ndege ya Qatar walitoa wasilisho kuhusu kuongeza…

Read More

Ubalozi kushiriki katika siku ya Utamaduni iliyofanyika kwenye Chuo cha Ufundi Moscow (Politech)

Tarehe 22 Mei 2019 kwa kushirikiana na Wanafunzi wanaosoma jijini Moscow,  Ubalozi ulishiriki kwenye siku ya Utamaduni iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Ufundi "Moscow Politech". Katika tafrija hiyo…

Read More

Uzinduzi wa Kampuni ya “Coral Travel” kuanza kufanya safari Tanzania

Ubalozi wa Tanzania kwa Kushirikiana na Kampuni ya "Coral Travel" uliandaa hafla ya uzinduzi wa Safari za "Coral Travel" nchini Tanzania tarehe 21 Februari 2019. Kufuatia uzinduzi huo Kampuni ya "Coral Travel" ambayo…

Read More

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yafana Moscow

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yalifanyika Moscow kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi 2019. Maonesho hayo yalihudhuriwa na  washiriki mbali mbali kutoka Tanzania ambao ni TTB, TANAPA, NCAA na Wadau…

Read More

TZ, Russia joint outfit in offing

Tanzania and Russia are planning to form a Joint Permanent Commission (JPC) on trade, investment and the economy for the benefits of both countries, it was revealed at the State House in Dar es Salaam yesterday.…

Read More

Rais Dkt. Magufuli Afanya Mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov

Rais Dkt. Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov Ikulu Jijini Dar es Salaam

Read More