Balozi wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu Simon Mumwi akipata picha ya kumbukumbu na Rais Vladimir Putin baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa kiongozi wa nchi hiyo katika Ikulu ya Kremlin jijini Moscow leo