Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yalifanyika Moscow kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi 2019. Maonesho hayo yalihudhuriwa na  washiriki mbali mbali kutoka Tanzania ambao ni TTB, TANAPA, NCAA na Wadau wengine kutoka Makampuni mbali mbali yanayojishughulisha na Utalii nchini Tanzania ambayo ni "Colours of Zanzibar", "Flightlink Ltd.", "Karibu World Safaris", "Sea Crest Hotel-Zanzibar", Sun Tours and Travel", "Kili Fair Promotions Co. Ltd.", na "Xperience Tours and Travel".