UBALOZI KWA KUSHIRIKIANA NA QATAR AIRWAYS WAFANYA SEMINA YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Ubalozi kwa kushirikiana na Kampuni ya ndege ya Qatar ulifanya Semina ya Utalii  wa Tanzania tarehe 13 Novemba 2019 katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi. Kampuni ya ndege ya Qatar walitoa wasilisho kuhusu kuongeza…

Прочитайте больше

MAADHIMISHO YA MIAKA 27 YA SADC MOSCOW

Ubalozi ukishirikiana na Balozi nyingine wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zilizopo jijini Moscow ulisherehekea miaka 27 ya kuanzishwa kwa Umoja huo. Sherehe hiyo ilifanyika…

Прочитайте больше

Ubalozi kushiriki katika siku ya Utamaduni iliyofanyika kwenye Chuo cha Ufundi Moscow (Politech)

Tarehe 22 Mei 2019 kwa kushirikiana na Wanafunzi wanaosoma jijini Moscow,  Ubalozi ulishiriki kwenye siku ya Utamaduni iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Ufundi "Moscow Politech". Katika tafrija hiyo…

Прочитайте больше

Maadhimisho ya Miaka 55 ya Muungano - Moscow, Urusi

Ubalozi uliamua kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutangaza bidhaa na vivutio vya Utalii vya Tanzania; Kukabidhi vyeti kwa Wadau mbali mbali kuonesha kutambua mchango wao katika…

Прочитайте больше

Uzinduzi wa Kampuni ya “Coral Travel” kuanza kufanya safari Tanzania

Ubalozi wa Tanzania kwa Kushirikiana na Kampuni ya "Coral Travel" uliandaa hafla ya uzinduzi wa Safari za "Coral Travel" nchini Tanzania tarehe 21 Februari 2019. Kufuatia uzinduzi huo Kampuni ya "Coral Travel" ambayo…

Прочитайте больше

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yafana Moscow

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yalifanyika Moscow kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi 2019. Maonesho hayo yalihudhuriwa na  washiriki mbali mbali kutoka Tanzania ambao ni TTB, TANAPA, NCAA na Wadau…

Прочитайте больше

TZ, Russia joint outfit in offing

Tanzania and Russia are planning to form a Joint Permanent Commission (JPC) on trade, investment and the economy for the benefits of both countries, it was revealed at the State House in Dar es Salaam yesterday.…

Прочитайте больше